Proverbs 4:18-19


18 aNjia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko,
ambayo hung’aa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu.

19 bLakini njia ya waovu ni kama giza nene;
hawajui kinachowafanya wajikwae.

Copyright information for SwhKC